Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
Mkuu, hebu kuwa mkubwa kuliko hao unaowatuhumu.Utopolo wana dhambi kubwa sana kiasi kwamba hawastahili kuombewa mazuri kwa namna yoyote ile. Kuwapokea wapinzani wa simba airport au kuwaambia wapinzani wa simba kuwa simba huwa inapuliza sumu vyumbani ni dhambi kubwa sana. Ni heri simba isishiriki kimataifa au soka la Tz life kabisa kuliko utopolo kuombewa ifanye vizuri.
Soka la nchi inawezekana kunyanyuliwa na timu moja tu na kwa hapa Tz ni simba au ikitokea nyingine iwe Azam au Namungo lakini sio utopolo. Simba iwe kama Bayern Munchen, Azam au Namungo iwe kama Dortmund na Utopolo iwe kama Mainz au Schalke 04.
Kuwaombea mabaya wengine badala ya ku focus kujiimarisha mwenyewe ni small team mentality.
Kwa shabiki wa Simba kuwaombea Yanga watolewe hatua za awali, bado nawewe unakua kwenye hiyohiyo "small team mindset"
Bila kuangalia wao wanaYanga wana_behave vipi, ni lazima sisi kama wanaSimba tujipambanue kwamba kuna ka ushamba fulani hatunako tena. Not anymore.
Kuwaombea hao watu mabaya hasa katika mashindano ya kimatatifa, ni dalili za wazi kwamba ukipata muda, unaweza kwenda Airport kuwapokea wapinzani wa Yanga.
Hizi nafasi nne za nchi tunatakiwa kuzilinda kwa umoja wetu, zimeletwa na mtu mmoja (Simba SC. ) hazipaswi kulindwa na mtu mmoja huyohuyo.
Tukue