Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Simba sc mnyama hatari kafanya yake leo, na ndiyo timu kubwa zinavyobeba makombe.
Eti oooh tumeupiga mwingi, sasa kama umecheza vizuri umeshindwa vipi kufunga magoli, ukweli usemwe leo simba waliingia kwa ajili ya kubeba hiki kikombe na wamefanikiwa.
Nyie mlioingia kwa ajili ya kutandaza kandanda safi mmetoka vichwa chini, hii taadhari tu ninayowapa simba ndio kwanza tumeanza.