Timu gani ina mashabiki wengi duniani kati ya Barcelona na Real Madrid?

Timu gani ina mashabiki wengi duniani kati ya Barcelona na Real Madrid?

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Naomba mnijibie hili swali timu gani ina fans wengi worldwide maana nashindwa kuelewa nimezitaja hizi timu mbili za Spain
 
Kwangu ni real Madrid ndo inamashabik wengi. Barce iliaza kupata mashabiki kuanzia kipindi Cha Gaucho, mpaka mess anaibuka ila real toka zaman imekusanya mashabiki coz ilikuwa inatawala soka la ulaya mpaka ukija kipindi Cha CR7 iliongeza mashabiki wa kutosha.
 
Ooh kumbe
 
Mashabiki wengi wa Manchester United ni Mashabiki wa Real Madrid pia...

Isipokuwa sisi wachache mashabiki wa andunje mbuzi ndo tupo Barcelona
Kwahiyo hamna mashabiki wa Liverpool waliopo real Madrid au Barcelona
 
Los Blancos hala madrid ndio timu yenye wafuasi,mashabiki na supporters wengi kuzidi Barca.
 
Back
Top Bottom