Timu gani ina mashabiki wengi duniani kati ya Barcelona na Real Madrid?

Timu gani ina mashabiki wengi duniani kati ya Barcelona na Real Madrid?

1. Real Madrid.
2. Manchester United.
3. Barcelona.
4. Arsenal.
5. Liverpool.
 
Liverpool , the mighty Liverpool. One and the only in this planet
Dah ww kichwa maji umeulizwa back na real unaleta vinyankera jaribu kuelewa muulizaji anataka nn pengne anafanya kozi za ukocha ww unamwambia Liverpool dah mtihan
 
Kwangu ni real Madrid ndo inamashabik wengi. Barce iliaza kupata mashabiki kuanzia kipindi Cha Gaucho, mpaka mess anaibuka ila real toka zaman imekusanya mashabiki coz ilikuwa inatawala soka la ulaya mpaka ukija kipindi Cha CR7 iliongeza mashabiki wa kutosha.
Nilikuwa shabiki wa Barcelona ya Rivaldo mpaka ya kina Messi. Ila sasa hivi nina shabikia Real Madrid. Sikuwahi ipenda Real Madrid kabisa. Ila sasa hivi naipenda Madrid balaa. By the way timu yangu Uingereza ni Manchester United.
 
Back
Top Bottom