Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
OkayLiverpool , the mighty Liverpool. One and the only in this planet
Umekula?Naomba mnijibie hili swali timu Gani inafans wengi worldwide maana nashindwaga kuelewa nimezitaja hizi timu mbili za Spain
SijalaUmekula?
Ooh kumbeKwangu ni real Madrid ndo inamashabik wengi. Barce iliaza kupata mashabiki kuanzia kipindi Cha Gaucho, mpaka mess anaibuka ila real toka zaman imekusanya mashabiki coz ilikuwa inatawala soka la ulaya mpaka ukija kipindi Cha CR7 iliongeza mashabiki wa kutosha.
Basi Subiri ufuturu kwanza halafu uende gugo utype hilo swaliSijala
SijafungaBasi Subiri ufuturu kwanza halafu uende gugo utype hilo swali
Duuh
Jibu la kikatili sana hiliš¤£
Kwahiyo hamna mashabiki wa Liverpool waliopo real Madrid au BarcelonaMashabiki wengi wa Manchester United ni Mashabiki wa Real Madrid pia...
Isipokuwa sisi wachache mashabiki wa andunje mbuzi ndo tupo Barcelona
DuuhLos Blancos hala madrid ndio timu yenye wafuasi,mashabiki na supporters wengi kuzidi Barca.
Hapa tunaongelea timu za mpira wa miguu sio vitukoSimba jamani..
Madridistas wanaunda 33%+ ya mashabiki wa vilabu vya nchini spain.Duuh