Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna tofauti kati ya bara la ulaya na umoja wa ulaya....pia UEFA haihusiani na european union ndio mana inashirikisha mpk nchi za russia,turkey,albania,kazakhstan mpaka israel ni mwanachama wa UEFA pia mkuu so mkuu usichanganye hapoBaada ya Waingereza Kupiga Kura ya Kujitoa Euro na huku wamefuza 16 BORA nawasiliasha mada hii chokonozi
Mkuu, haipo umoja wa Euro....!? Mbona kama unachanganya madesa tena!Mbona Russia haipo umoja wa euro na inashirki miaka yote..
safiiiiiiiii kun awatu wanazani kuuliza ni UZUZUkuna tofauti kati ya bara la ulaya na umoja wa ulaya....pia UEFA haihusiani na european union ndio mana inashirikisha mpk nchi za russia,turkey,albania,kazakhstan mpaka israel ni mwanachama wa UEFA pia mkuu so mkuu usichanganye hapo
kuna watu humu hawajui kabisa siasa za nje,bora umemsaidia,hawajui kama Russia pia inacheza uefa ila haimo EUMakao makuu ya European Union yako Brussels, halafu unatuambia Belgium sio mwanachama wa European Union. SMDH.
pamoja mkuu, kila cku tunajifunzasafiiiiiiiii kun awatu wanazani kuuliza ni UZUZU