moodykabwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 625
- 602
Picha ni jengo la yanga MAKAO MAKUU jangwani.
Niambie Timu gani yenye jengo zuri kama hili?
Niambie Timu gani yenye jengo zuri kama hili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini picha zote umeelekezea camera juu?
Huko chini kuna incubator ya vyura.Kwanini picha zote umeelekezea camera juu?
Ihefu FCPicha ni jengo la yanga MAKAO MAKUU jangwani.
Niambie Timu gani yenye jengo zuri kama hili?
View attachment 1733979View attachment 1733980
Kirefu cha yanga ni niniPicha ni jengo la yanga MAKAO MAKUU jangwani.
Niambie Timu gani yenye jengo zuri kama hili?
View attachment 1733979View attachment 1733980
Jengo la Simba linatumiwa na mama lisheWeka na picha za jengo la simba kwanza ili tuwe na nafasi nzuri ya kuliganisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duhhhhhHuko chini kuna incubator ya vyura.
Ngoja nimwambie mwanasheria nguli"Shangazi Fatma Karume kunawatu wanang'ang'nia mali zenu uku"[emoji23][emoji23][emoji23] jengo la yanga au la mzee karume.?
Unazungumzia Afrika wewe, wacha ninyamaze? 😂 😂 😂 😂Picha ni jengo la yanga MAKAO MAKUU jangwani.
Niambie Timu gani yenye jengo zuri kama hili?
View attachment 1733979View attachment 1733980