Timu gani nyingine hapa Afrika ina jengo zuri kama yanga?

Timu gani nyingine hapa Afrika ina jengo zuri kama yanga?

moodykabwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
625
Reaction score
602
Picha ni jengo la yanga MAKAO MAKUU jangwani.

Niambie Timu gani yenye jengo zuri kama hili?

yangawhatsapp_makaomakuu-20210325-0002.jpg
yangawhatsapp_makaomakuu-20210325-0001.jpg
 
Weka na picha za jengo la simba kwanza ili tuwe na nafasi nzuri ya kulinganisha.
 
Kwakuwa wachezaji wa Yanga wanalala hapo, ungetuwekea na picha ya chumba anacholala mchezaji Aisha Masaka tuone kilivyo.
 
Ile kauli ya MWIKO NYUMA DAIMA.. ndio haipo Worldwide.
 
Back
Top Bottom