Timu gani nyingine hapa Afrika ina jengo zuri kama yanga?

Weka na picha za jengo la simba kwanza ili tuwe na nafasi nzuri ya kulinganisha.
 
Kwakuwa wachezaji wa Yanga wanalala hapo, ungetuwekea na picha ya chumba anacholala mchezaji Aisha Masaka tuone kilivyo.
 
Ile kauli ya MWIKO NYUMA DAIMA.. ndio haipo Worldwide.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…