Timu gani ya taifa haijawahi kufundishwa na kocha asiye mzawa?

Spain, Portugal, Italy, German na nyingine nyingi tu, kwao kufundishwa football na mgeni ni matusi.
 
Portugal imeshafundishwa na kocha wa ki Brazili. Luiz Felipe Scolari
 
Yaani hata Huku pia MNAKURUPUKA? Hata tubadili cpa Sijui gpa sijui tulete grade, Mmmh. Chenga tu!
 
Back
Top Bottom