Timu ilikuwa ikienda Old Trafford basi tumbo joto kwa mashabiki wa timu hiyo

Timu ilikuwa ikienda Old Trafford basi tumbo joto kwa mashabiki wa timu hiyo

mtafiti muelewa

Senior Member
Joined
Oct 16, 2013
Posts
186
Reaction score
103
Naomba kuuliza jamani nini tatizo?

Uwanja ambao ulikuwa tishio kwa timu pinzani, yaani timu ilikuwa ikienda Old Trafford basi tumbo joto kwa mashabiki wa timu hiyo, cha kushangaza leo umegeuka shamba la bibi.

Mechi nne alizocheza Man U katika EPL msimu huu 2020/2021 kaambulia pointi moja akisuluhu na Chelsea na kupoteza game tatu, kikiwepo kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa Tottenham cha mabao 6.

Nini tatizo OT?
 
Back
Top Bottom