Timu iliyofungiwa kusajili inaporwaje mchezaji?

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Una jua kuna vitu vinafikirisha mno.

Jumatatu kulikuwa na story za Yanga kufungiwa kutokusajili mchezaji yeyote. Wasakatonge wakawa wanashangilia, hata ushahidi wa picha ukawekwa bayana, ili kuthibitisha.

Leo asubuhi wamapewa mchezaji bure ambaye wameenda kumpokea wao wenyewe Airport halafu wakaanzisha story ety wamepora mchezaji.

Hivi wana akili kweli hawa vijana?

Sasa umeporaje mchezaji kutoka kwenye timu ambayo imefungiwa na FIFA kufanya usajili?

Ni sawa na kujiweka kidole cha shahada na kukinusa mwenyewe.

Fabrice ni mchezaji mzuri, ila ningemwaga chozi kama angesajiliwa YangaSC.

Mchezaji hajawahi anza mechi yeyote ile ya CAF kati ya mechi 8 ambazo timu yake imecheza msimu huu. Sasa anakuwake first priority player kwa Klabu kama Yanga SC.

Kama unakosa namba kwenye kikosi cha Al Hilal unategemea vipi aje kuwa mchezaji wa kutegemea kwenye timu ya CAFCC Finalist?

If that Fabrice Ngoma was on a list of much needed player, basi Bw Eng Hersi Angekuwa amekwisha maliza hesabu kabla mchezaji hajafika Tanzania kama ilivyokuwa kwa wachezaji kama:-
Aziz Ki. na
Aucho.
 
BAELEZA HAO WALIOENDA KUONGEZA SHEPU TURKEY...😛😛
 
Una jua kuna vitu vinafikirisha mno.

Jumatatu kulikuwa na story za Yanga kufungiwa kutokusajili mchezaji yeyote. Wasakatonge wakawa wanashangilia, hata kama ilivyokuwa kwa wachezaji kama:-
Aziz Ki. na
Aucho.
"Hao wote mbumbumbu"

Alhaj Ismael Aden Rage.
 
Fundi wa Mpira uyo Fabrice luamba ngoma,
Kila nilipokua nawaza huyu jamaa ataenda utopolo nlikua nakosa usingizi,chini ngoma juu chama na saido pembeni kibu d anafosi na onana..Kuna watu watakula kumi wallahi nakuapia
 
BAELEZA HAO WALIOENDA KUONGEZA SHEPU TURKEY...😛😛
Kuwaelewa washabiki wa upande ule ni shida sana maana hata wiki haijahisha walikuja na ma TMS yakionyesha Yanga kafungiwa kusajili alafu Leo wanakuja na taarifa kua wamewanyang'anya Yanga mchezaji airport yaana mpaka unajiuliza hawa watu ni machizi au
 
Fundi wa Mpira uyo Fabrice luamba ngoma,
Kila nilipokua nawaza huyu jamaa ataenda utopolo nlikua nakosa usingizi,chini ngoma juu chama na saido pembeni kibu d anafosi na onana..Kuna watu watakula kumi wallahi nakuapia
kulazimisha furaha sio jambo la mchezo. Lazima kitengeneza matukio ya kunyegesha..........
 
Hayo ya Fabrice pambana nayo mwenyewe maana Wenye busara tunaona kama porojo tu. Lakini kuhusu Yanga kufungiwa kusajili zilikuwa Taarifa toka Kwa wale wale wanaojiita wachambuzi. TFF isipoweka utaratibu wa kurasmisha uchambuzi iwe taaluma yenye Leseni kama walivyo Mawakala wa Wachezaji wataendelea kuzusha taharuki.
 
Sizitaki mbichi hizi.....
 
Wacha kufananisha Al hilal na uchafu. Al hilal ni Klabu kubwa kuanzia kiuchumi na kisoka. CAF champions League ni kawida Kwa Al hilal kushiriki Ila timu yako ya uto hujui hata ili shiriki lini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…