demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Una jua kuna vitu vinafikirisha mno.
Jumatatu kulikuwa na story za Yanga kufungiwa kutokusajili mchezaji yeyote. Wasakatonge wakawa wanashangilia, hata ushahidi wa picha ukawekwa bayana, ili kuthibitisha.
Leo asubuhi wamapewa mchezaji bure ambaye wameenda kumpokea wao wenyewe Airport halafu wakaanzisha story ety wamepora mchezaji.
Hivi wana akili kweli hawa vijana?
Sasa umeporaje mchezaji kutoka kwenye timu ambayo imefungiwa na FIFA kufanya usajili?
Ni sawa na kujiweka kidole cha shahada na kukinusa mwenyewe.
Fabrice ni mchezaji mzuri, ila ningemwaga chozi kama angesajiliwa YangaSC.
Mchezaji hajawahi anza mechi yeyote ile ya CAF kati ya mechi 8 ambazo timu yake imecheza msimu huu. Sasa anakuwake first priority player kwa Klabu kama Yanga SC.
Kama unakosa namba kwenye kikosi cha Al Hilal unategemea vipi aje kuwa mchezaji wa kutegemea kwenye timu ya CAFCC Finalist?
If that Fabrice Ngoma was on a list of much needed player, basi Bw Eng Hersi Angekuwa amekwisha maliza hesabu kabla mchezaji hajafika Tanzania kama ilivyokuwa kwa wachezaji kama:-
Aziz Ki. na
Aucho.