Timu iliyoserious na pre season kufanyia nje ya nchi ni Azam FC pekee

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Azam Fc wamekua Bora kwa kila kitu kuanzia usajili mpaka arrangement ya muda na wachezaji kuungana kwa pamoja na kuanza mazoezi.

Azam FC wameonesha ukomavu mkubwa sana katika siasa za Simba na Yanga.

NALIA NGWENA nimeshangazwa sana na Simba SC kwenda Uturuki kwa mafungu mafungu kama kambi za wasabato, hata hizo kambi pia zina mtiririko maalumu.

Hapa ndipo Kocha atakapokosa Kombe utasikia anasema kuwa, "Hatukua na muda wakutosha katika maandalizi!"

Ngoja ligi ianze.
 
Azam FC wameonesha ukomavu mkubwa sana katika siasa za Simba na Yanga....

Huu ndo ukweli... wenye timu za Kkoo wataukataa
 
Azam Fc wamekua Bora kwa kila kitu kuanzia usajili mpaka arrangement ya muda na wachezaji kuungana kwa pamoja na kuanza mazoezi.

Azam FC wameonesha ukomavu mkubwa sana katika siasa za Simba na Yanga.

NALIA NGWENA nimeshangazwa sana na Simba SC kwenda Uturuki kwa mafungu mafungu kama kambi za wasabato, hata hizo kambi pia zina mtiririko maalumu.

Hapa ndipo Kocha atakapokosa Kombe utasikia anasema kuwa, "Hatukua na muda wakutosha katika maandalizi!"

Ngoja ligi ianze.
Mseto, Maji Maji, Tukuyu, Coastal (huyu atachana tu mbeleko... hana muda), Mtibwa (huyu ni suala la muda tu), et al Timu zilizowahi kuchukua ubingwa Tanzania na baadae zikashindwa kuhimili Siasa za SSC na YNG na zikapotea mazima.
 
Tupe habari ya Skudu..haya ya Azam waachie wenyewe
 
Azam Fc wamekua Bora kwa kila kitu kuanzia usajili mpaka arrangement ya muda na wachezaji kuungana kwa pamoja na kuanza mazoezi.

Azam FC wameonesha ukomavu mkubwa sana katika siasa za Simba na Yanga.

NALIA NGWENA nimeshangazwa sana na Simba SC kwenda Uturuki kwa mafungu mafungu kama kambi za wasabato, hata hizo kambi pia zina mtiririko maalumu.

Hapa ndipo Kocha atakapokosa Kombe utasikia anasema kuwa, "Hatukua na muda wakutosha katika maandalizi!"

Ngoja ligi ianze.
Wanasema wamesajil ngoja ligi lianze watapoteana.
Pre season hio imakaa kisiasa sana, na tambo za kishamba sana.
 
Back
Top Bottom