NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Mseto, Maji Maji, Tukuyu, Coastal (huyu atachana tu mbeleko... hana muda), Mtibwa (huyu ni suala la muda tu), et al Timu zilizowahi kuchukua ubingwa Tanzania na baadae zikashindwa kuhimili Siasa za SSC na YNG na zikapotea mazima.Azam Fc wamekua Bora kwa kila kitu kuanzia usajili mpaka arrangement ya muda na wachezaji kuungana kwa pamoja na kuanza mazoezi.
Azam FC wameonesha ukomavu mkubwa sana katika siasa za Simba na Yanga.
NALIA NGWENA nimeshangazwa sana na Simba SC kwenda Uturuki kwa mafungu mafungu kama kambi za wasabato, hata hizo kambi pia zina mtiririko maalumu.
Hapa ndipo Kocha atakapokosa Kombe utasikia anasema kuwa, "Hatukua na muda wakutosha katika maandalizi!"
Ngoja ligi ianze.
Skudu ni aibu kwa mpira wetu. Mchezaji mzee asiye na match fitnes hapaswi kuimbwa kiasi kile!Tupe habari ya Skudu..haya ya Azam waachie wenyewe
Hao ni Azam, sio Yanga. Utopolo wako wapi?Azam Fc wamekua Bora kwa kila kitu kuanzia usajili mpaka arrangement ya muda na wachezaji kuungana kwa pamoja na kuanza mazoezi.
Wanasema wamesajil ngoja ligi lianze watapoteana.Azam Fc wamekua Bora kwa kila kitu kuanzia usajili mpaka arrangement ya muda na wachezaji kuungana kwa pamoja na kuanza mazoezi.
Azam FC wameonesha ukomavu mkubwa sana katika siasa za Simba na Yanga.
NALIA NGWENA nimeshangazwa sana na Simba SC kwenda Uturuki kwa mafungu mafungu kama kambi za wasabato, hata hizo kambi pia zina mtiririko maalumu.
Hapa ndipo Kocha atakapokosa Kombe utasikia anasema kuwa, "Hatukua na muda wakutosha katika maandalizi!"
Ngoja ligi ianze.
Ujinga mtupu.Wanasema wamesajil ngoja ligi lianze watapoteana.
Pre season hio imakaa kisiasa sana, na tambo za kishamba sana.