Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Tunakutafuta we jamaa sijui umejifichia wapi [emoji1]We are Chelseaaaaaaaaaaaaaaaa
Giant club in England, King Of London..
#LetsproveThemWrong..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunakutafuta we jamaa sijui umejifichia wapi [emoji1]We are Chelseaaaaaaaaaaaaaaaa
Giant club in England, King Of London..
#LetsproveThemWrong..
habari unayo.Yapo maneno mengi kuwa Chelsea ni dhaifu msimu huu kuliko timu nyingi za EPL, hii imetokana na vitu vitatu ambavyo me naona havina mashiko...
kitu cha kwanza,, kuzuiwa kusajili, hapa tukumbuku Chelsea ilikua tayar imeshamsajili Pulisic ambayo naona kwa 90% atakua mbadala wa Eden,,
Jambo la pili nikuondoka kwa wachezaji muhimu,, kuondoka kwa hazard kwel ni pengo lakini ujio wa Pulisic imezima dhana hii na kupunguza pengo amabalo kimsingi lingeonekana... kwa upande wa Luiz sioni hata lengo lake, na mwenyewe aliondoka baada ya kuona nafasi yake itakua ndogo baada ya kijana Zouma kulejea Stamford...
Jambo LA tatu, ni Frankie Lampard kuambiwa hana uzoefu,, jamani Uwezo ni muhimu kuliko uzoefu ndo maana zidanw aliweza kufanikiwa na Madrid huku akiwa hana uzoefu...
Beki ya Chelsea itaundwa na Azi, Christensen, Emerson, Rudiger, Zouma, Alonso, Zapacosta pamoja na kijana mdgo James.. hapa kwa mfumo wa beki wanne namuona Rudiger na zouma katikati huku pembeni akicheza Azip na Emerson/ Alonso,, Hebu nambie yupo hata uzoefu hapo? au yupi ni beki dhaifu??
katikati hapa ndo pamenoga zaid,, kuna Kante nadhani hahitaji maneno mengi kumuelezea, yupo Joginho, Mateo, Barkery, Bakayoko na Monson mont.. hapa kwenye first eleven ni Kante, Joginho na barker/ Mateo sijui unataka combination gana zaid ya hii... wakati Kante anasaidia defence, Joginho anatulipa katikati huku Barkery akianzisha mashambulizi...
Hapa mbele yupo William, Pedro, tarented Culum Hudson Odoi (CHO), Roben loftus Cheek, yupo Pulisic ( Captain America) yupo Batman ( New Drogba ) na Olivier Giroud.. Sasa hebu nasiidie mwenyewe kuchagua mwenyewe watatu wa kuanza hapa... Ila kumbuka Captain America wanaweza cheza kama central striker..
Nimesahau kipa eeeh,,, hapa yupo Spain number one,, Keppa arrinini sijui,,, huyu mtoto anaenda kuchukua namba vya De gea pale Spain believe me...
Lampard hana uzoefu?? amecheza final ya play off unataka... hebu nikumbushe wakati zedane anaichukua Madrid alitokea timu gani iliyokua inashiliki LA liga au alitokea EPL ??
Chelsea isibezwe, bado ni timu bora EPL
Mkuu hawa Blue London mwaka huu watabadili sana golikipa.Nilisema kila nikichungulia naziona 3+ ,kila nikichungulia labda kuna 2-0 roho inagoma
Nimemuona mtaani kwake hapo nje anapiga mswaki... amekimbilia ndani.Tunakutafuta we jamaa sijui umejifichia wapi [emoji1]
Tunakutafuta we jamaa sijui umejifichia wapi [emoji1]