Timu Kiba vs Timu Samatta Bonge moja la mechi na vituko nje nje.

Manofu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Posts
1,317
Reaction score
2,020
Bwana hee umepigwa mpira wa nguvu bonge la mechi ya maana full vikosi yani aliyekosa hii mechi amepitwa na mengi.

Timu kiba imesheeni wachezaji wakufa mtu ila wakachezea 6-3 Kituko sasa kaseja kapigwa chenga na Ajibu wakati Ajibu anaenda kufunga kaseja kaona isiwe nongwa akaluka na kumdaka kiuno uwanja mzima vicheko mpaka wachezaji.

Kama ulikuwa umewamisi wachezaji wazuri basi leo wote walikuepo kuanzia Nyozima, kagere, Msuva, kichuya, Banda,Fei toto, Manula, Ndemla, wawa, Agrey morris, ngasa wote hao ni timu kiba ila shangaa sasa wamefungwa na watu gani?

Timu Samatta ilikuwa na naodha mwenyewe, Nyoni, faridi musa, shabani chilunda, Kaseja, Kevin John Mbape huyu dogo kuna siku atauwa mtu, Ulimwengu, Boban, Chuji, mohamed samatta, kessy, nawengine wengi.

Kituko kingine dakika za mwisho timu kiba wakapata penalti akaenda kupiga Abdul Kiba Kipa akaucheza ikawa kona ikapigwa kona Chuji akaushika kwa mkono wakapewa penalti nyingine akaenda kupiga Abdul kiba tena akapiga kipa akaucheza tena, yani Ally kiba kidogo azimie. Kifupi leo nime enjoy kwa mpira wa maana kabisa kutoka kwa timu hizi mbili.
 
Watu wanaleta utani uwanjani huo mpira au maigizo!
Wakaangalie mechi za hisani kwa wenzetu wajifunze

Ni Ubunifu mzuri sana na wanalengo zuri
Kuna siku watajaza uwanja i swear to God sema watu walikuwa awajafahamu wachezaji wa timu zote mbili pengine ndo maana awakujitokeza wengi sana. Ila kikosi kizima kitakachokwenda misri leo kilikuwa uwanjani mpaka na wachezaji wa kigeni.
 
Yeah, na promo ilichelewa kuanza nadhani kadri watakavyoendelea itakuwa inaimprove na kuwa bora zaidi
 
Ila jelly santo kapiga mpira mzuri sana mpaka raha. Mbape wa mbogo amejitahidi sana
 
Back
Top Bottom