Timu kiba wachoma t-shirts za wcb wasafi

Timu kiba wachoma t-shirts za wcb wasafi

Wanaume wa Dar bhana..!
Yaani ukisema wanaamika ni timu kibakuli ndo umethibitisha kila kitu hapo na ushahidi umeutoa...?
 
Hawa jamaa Wangekuwa Wanafanya Biashara za Ma Beef wangepiga pesa Ndefu
 
Siku nikijikuta nipo serious na vitu vya kipapasi kama hivi,nitajipiga makofi ya kutosha.
Unakutana na linjemba lina sharubu mpaka kwenye kalio linatokwa povu kwa ajili ya upuuzi ambao hauna hata maslai.
Yaani ujinga mtupu…
Hapa unafanya nini sasa...???
 
Sema nimeshindwa Ku upload video mngesikia kila kitu kipindi wanachoma na maneno yanavowatoka pia kwny fanpage za kiba kwa mf kwa choko mmoja anaitwa shilole official na dengue homa ya jiji wamepost
 
Sema nimeshindwa Ku upload video mngesikia kila kitu kipindi wanachoma na maneno yanavowatoka pia kwny fanpage za kiba kwa mf kwa choko mmoja anaitwa shilole official na dengue homa ya jiji
Yani hawa madogo matusi mda wote siju wajinga gani wanawafolo watu kama hawa
 
Sio mbaya WCB bado imeingiza pesa.
 
huu ujinga wafanye tuu hausaidiii ni kuignore ujinga kama huo wa tem kiba sijui....chuki ndio ziko hivyo....kutojibu ni silaha...
 
Wamenuna kusikia Chibu hatakuwepo Fiesta manake walitarajia angekuwepo halafu waanze kuzomea ili watupiwe buku mbili mbili kama ilivyokuwa kwenye Tamasha la Tigo!! Kwahiyo tatizo hapo ni buku 2 na si kingine!!! [HASHTAG]#WazeeWaBukuBee[/HASHTAG]
 
Mnaangalia upande mmoja ndo tatizo
 
unanunua tshirt alafu unachoma huku unamungezea kipato mond
 
unanunua tshirt alafu unachoma huku unamungezea kipato mond
Umewaza nilivyokuwa nawaza mimi,tena kama vipi waendelee kununua na kuzichoma zaidi ili wamkomoe vizuri.Lakini kama wanamaanisha ugomvi basi wawavue waliovaa ndio watajua kuwa kibakuli ni "king" au ni "queen"
 
Umewaza nilivyokuwa nawaza mimi,tena kama vipi waendelee kununua na kuzichoma zaidi ili wamkomoe vizuri.Lakini kama wanamaanisha ugomvi basi wawavue waliovaa ndio watajua kuwa kibakuli ni "king" au ni "queen"
Hahahahaaaa daah ktk koment zote ww ndo umeua
 
Back
Top Bottom