Mzaramo ktk ubora wakoUnaweza ukawalaumu bure hao jamaa....ebu fafanua vzuri tatizo lilikuwa nini mpaka wakachoma hizo nguo?!
Hapa unafanya nini sasa...???Siku nikijikuta nipo serious na vitu vya kipapasi kama hivi,nitajipiga makofi ya kutosha.
Unakutana na linjemba lina sharubu mpaka kwenye kalio linatokwa povu kwa ajili ya upuuzi ambao hauna hata maslai.
Yaani ujinga mtupu…
Wewe umeandika yooo ni team kiba?hujasikia yooo
Sema nimeshindwa Ku upload video mngesikia kila kitu kipindi wanachoma na maneno yanavowatoka pia kwny fanpage za kiba kwa mf kwa choko mmoja anaitwa shilole official na dengue homa ya jiji
Yani hawa madogo matusi mda wote siju wajinga gani wanawafolo watu kama hawa
Umetisha mkuuUkitaka kujua wadogo zetu wengi wana msongo wa mawazo waangalie wanavyojikuta wako busy na upuuzi wa hizi team.
Umewaza nilivyokuwa nawaza mimi,tena kama vipi waendelee kununua na kuzichoma zaidi ili wamkomoe vizuri.Lakini kama wanamaanisha ugomvi basi wawavue waliovaa ndio watajua kuwa kibakuli ni "king" au ni "queen"unanunua tshirt alafu unachoma huku unamungezea kipato mond
Hahahahaaaa daah ktk koment zote ww ndo umeuaUmewaza nilivyokuwa nawaza mimi,tena kama vipi waendelee kununua na kuzichoma zaidi ili wamkomoe vizuri.Lakini kama wanamaanisha ugomvi basi wawavue waliovaa ndio watajua kuwa kibakuli ni "king" au ni "queen"