uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Bila shaka
18. Notingham forest
19. Bounermouth
20. Southampton
Hawa watashuka daraja
Kwa Notingham forest anaweza akadumbukia everton asipobadilika mapema. Na itakuwa kwa mara ya kwanza klabu kongwe kushuka daraja baada ya kipindi kirefu.
Sean dyche akizuba anaporomoka
Mtazamo kulingana na performance