Timu kongwe kushuka daraja EPL mwaka huu

Timu kongwe kushuka daraja EPL mwaka huu

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,045
Reaction score
8,608
Bila shaka

18. Notingham forest
19. Bounermouth
20. Southampton

Hawa watashuka daraja

Kwa Notingham forest anaweza akadumbukia everton asipobadilika mapema. Na itakuwa kwa mara ya kwanza klabu kongwe kushuka daraja baada ya kipindi kirefu.

Sean dyche akizuba anaporomoka


Mtazamo kulingana na performance
 
The point difference at the bottom half is very tight. Ni mapema sana kusema nani ataondoka ikiwa zimebaki point 27 mpaka 30 za kugombania.

Hapo chini unaweza ukaona mtu wa mwisho anaweza akashinda mechi moja na akatoka kwenye red line.
IMG_20230402_004021_241.jpg
 
Back
Top Bottom