Timu kubwa: Eng Hersi akigawa kadi za Yanga Lubumbashi Congo

Nyieee msikute huko mbinguni Yanga ni kikundi cha Comedy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyieee msikute huko mbinguni Yanga ni kikundi cha Comedy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu huoni kama ni vizuri Yanga kutambulika pale mjini heaven
......kuliko makolo wenyew full kuroga
 
hii ni kweli ila kadi hazichezi uwanjani
 
Simba wana matawi mpaka Marekani na Uingereza leo nyinyi mnajitapa kufungua tawi kongo ambako hata mataniboi wa magari makubwa ya Tanzania wanafika kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…