Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah,yanga ni kama wako nyumbani tu kwa congoDaaah kumbe....wameanza Toka kitambo....
Hawanaga jipya wale kelele tu Muhammed mwenyewe analalamika kama delicious tyuu na vile vikaputula sijui?Simba wakienda nchi za watu, wanawaza kuroga tu. Kwa hili wana cha kujifunza kwa kaka zao Yanga.
hii ni kweli ila kadi hazichezi uwanjaniYoung Africans yawa timu ya kwanza ku expand nchi za Africa mashariki
Rasmi Tawi la Yanga Wakali Kwanza limezinduliwa Lubumbashi, Congo na Rais wa Yanga SC Hersi Ally Said, Makamu wa Rais Arafat Haji, Wajumbe wa Baraza la Wadhamini na Uongozi mzima wa Yanga SC mjini Lubumbashi nchini Congo
#WananchiCongo[emoji1078]
Wanachama wetu wa Tawi la Wakali Kwanza Lubumbashi wakikabidhiwa Kadi zao za Uanachama na Rais wa Yanga SC Hersi Ally Said, kwenye hafla maalum iliyoandaliwa na Tawi hilo mjini Lubumbashi, Congo.
View attachment 2573186
Nyuma Kuna MwikoSisi Daima mbele tu