Tuambie ac Milan Ina Mashabiki wangapi kuizidi Chelsea? Na hizo takwimu umezitoa wapi?Arsenal na man u zina mashabiki wengi duniani kuliko barca na madrid. Chelsea haiwezi kuizidi ac milan kwa mafanikio wala kwa mashabiki duniani. N.b kabla ya mwaka 2003 chelsea ilikuwa levo za akina Everton na spurs...
Sasa unabisha nini wewe kiande?? Chelsea tangu inunuliwe na bilionea Abramovic imekuwa na mashabiki wengi sana tofauti na timu yoyote kutoka ItalyTuambie ac Milan Ina Mashabiki wangapi kuizidi Chelsea? Na hizo takwimu umezitoa wapi?
Itakuwa umeanza kuangalia mpira 2010 tufanye umeshindaTuambie ac Milan Ina Mashabiki wangapi kuizidi Chelsea? Na hizo takwimu umezitoa wapi?
Acha mbwembwe njoo na takwimu zinazoonesha AC Milan anaizidi Chelsea kwa fans base?wewe unamzungumzia team iliyojifiaItakuwa umeanza kuangalia mpira 2010 tufanye umeshinda
Umeninukuu vibaya nimemaanisha huyo aliyebisha Chelsea haijaizidi ac Milan kwa mashabiki atupe takwimu zake zikionesha hivyo.Sasa unabisha nini wewe kiande?? Chelsea tangu inunuliwe na bilionea Abramovic imekuwa na mashabiki wengi sana tofauti na timu yoyote kutoka Italy
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasahau kua Mourinho alitengeneza kikosa kilichoshehena wachezaji Bora kabisa toka pande zote duniani.Umeninukuu vibaya nimemaanisha huyo aliyebisha Chelsea haijaizidi ac Milan kwa mashabiki atupe takwimu zake zikionesha hivyo.
[emoji120][emoji120][emoji120] sikukuelewa mkuuUmeninukuu vibaya nimemaanisha huyo aliyebisha Chelsea haijaizidi ac Milan kwa mashabiki atupe takwimu zake zikionesha hivyo.
Milan ana mafanikio makubwa kuliko Arsenal kuanzia ndani ya league na UEFA pia wana fan base kubwa hii inawabeba.Vipi kuhusu Milan...
Je mafanikio yao ni kazi bure mbele ya Arsenal?
Ukubwa wa timu unapimwa pia kupitia vitabu vya hesabu... Balance sheet yao ikojeKichwa cha habari kingekuwa club zenye mashabiki wengi duniani na sio club kubwa kuna tofauti ya ukubwa na umaarufu ukubwa unaendana na idadi ya vikombe walivyochukua.
Mafanikio ya uwanjani, Kuna kipindi Madrid ilikuwa Ina Hali mbaya kifedha lakini uwanjani ndio ilikuwa kinara wa makombr.Ukubwa wa timu unapimwa pia kupitia vitabu vya hesabu... Balance sheet yao ikoje
Lakini haziwez kumzidi Ac Milan mashabiki globally yeye ana kama 500M, anaejitahidi hapo ni Al Ahly anao 50M globally Hao wengine wana kumi kumi tu..Mwenyewe nimeshangaa kuna hizi timu zina mashabiki wengi sana duniani na maarufu mno,
1 Boca juniors
2 River plate
3 Al ahly
4 Zamalek