Timu kubwa zaidi duniani

Timu kubwa zaidi duniani

Arsenal na man u zina mashabiki wengi duniani kuliko barca na madrid. Chelsea haiwezi kuizidi ac milan kwa mafanikio wala kwa mashabiki duniani. N.b kabla ya mwaka 2003 chelsea ilikuwa levo za akina Everton na spurs...
Tuambie ac Milan Ina Mashabiki wangapi kuizidi Chelsea? Na hizo takwimu umezitoa wapi?
 
Vipi kuhusu Milan...
Je mafanikio yao ni kazi bure mbele ya Arsenal?
Milan ana mafanikio makubwa kuliko Arsenal kuanzia ndani ya league na UEFA pia wana fan base kubwa hii inawabeba.
 
Kichwa cha habari kingekuwa club zenye mashabiki wengi duniani na sio club kubwa kuna tofauti ya ukubwa na umaarufu ukubwa unaendana na idadi ya vikombe walivyochukua.
Ukubwa wa timu unapimwa pia kupitia vitabu vya hesabu... Balance sheet yao ikoje
 
Wengine wanaamini ili timu iwe kubwa mpaka iwe na mvi, ni wapuuzi sana watu wa aina hii.
 
Mwenyewe nimeshangaa kuna hizi timu zina mashabiki wengi sana duniani na maarufu mno,

1 Boca juniors
2 River plate
3 Al ahly
4 Zamalek
Lakini haziwez kumzidi Ac Milan mashabiki globally yeye ana kama 500M, anaejitahidi hapo ni Al Ahly anao 50M globally Hao wengine wana kumi kumi tu..
 
Back
Top Bottom