TIMU KUHIMILI MASHINDANO MENGI KAMA TPL,AZAM FA CUP,SPORTPESA,MAPINDUZI CUP,CAF CHAMPION LEAGUE

samakinchanga

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2014
Posts
2,024
Reaction score
1,233
Nilisema humu timu chache sana zinaweza kuhimili mikiki yote hiyo na kufanya vizuri,hata uwe na kikosi kipana namna gani,Timu moja imeanza kudondosha mojamoja yaani Simba SC,Yanga waliwahi kidogo kujitahidi walishinda TPL,FA cup na wakawa kwenye mashindano ya CAF wakaenda Sportpesa,walisemwa sana hawawezi kitu lakini walikuwa wanapambana kwa miaka 3,au 4 hivi.Ngoja tuwaombee wekundu wa msimbazi nao wapambane.YES WE CAN
 
Jumamosi si mbali wataanza kupoteana pale watakapopigwa za kutosha Congo

Sent using Jamii Forums mobile app
Roho mbaya fc...gongo wazi fc...ombaomba fc..mbutembute fcπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..mambo yasiyowahusu yanawawashia nini???Mlianza na mbabane..mkaja nkana..juzi mmeamia kwa Waarabu Jumamosi mnahamia congo...tunawafirimba mashabiki wa gongowazi na hao wacongo kama tulivyowafirimba huko nyuma...pambaneni na ufukara wenu...kamtafuteni makambo kwanza nasikia katoroka kambini kisa njaa
 
Ishu sio kutema ishu ni uwingi wa Mashindano na umuhimu wake katika malengo ya timu.
Ndio maama Yanga waliamua kupeleka kikosi B kwenye Mapinduzi Cup.

Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kufungwa ndio mnakubali kuwa Yanga ilipeleka kikosi B Zanzibar kabla ya hapo mlikuwa mnapiga kelele kuwa ile ni Yanga kamili na sio kikosi B. Ama kweli mwaka huu mtataga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kusikia hivyo hivyo. Report kamili utaipata tarehe 16.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wamefail asubuhi tu,Mashujaa......hata Caf ni watalii tu
 
Baada ya kufungwa ndio mnakubali kuwa Yanga ilipeleka kikosi B Zanzibar kabla ya hapo mlikuwa mnapiga kelele kuwa ile ni Yanga kamili na sio kikosi B. Ama kweli mwaka huu mtataga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapiga kelele ndio kauli gani hiyo ?
Hebu tuliza jazba wakati unapozungumza na watu wenye akili zao.
Mnapiga kelele. Mimi ulinisikisikia nikipiga kelele ?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
MIKIA FC walishashindwa from day 1. ligi wameweka viporo milioni.
 
Hawa wamefail asubuhi tu,Mashujaa......hata Caf ni watalii tu
Kushiri CAF na kulamba 1.3 billion hatua ya makundi na kulamba nyingine 1.56 billion Kucheza robo fainali unaita utalii! Mmelogwa nyie vyura 🐸
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…