samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Nilisema humu timu chache sana zinaweza kuhimili mikiki yote hiyo na kufanya vizuri,hata uwe na kikosi kipana namna gani,Timu moja imeanza kudondosha mojamoja yaani Simba SC,Yanga waliwahi kidogo kujitahidi walishinda TPL,FA cup na wakawa kwenye mashindano ya CAF wakaenda Sportpesa,walisemwa sana hawawezi kitu lakini walikuwa wanapambana kwa miaka 3,au 4 hivi.Ngoja tuwaombee wekundu wa msimbazi nao wapambane.YES WE CAN