Timu Kupewa Wiki Nzima Kujiandaa

Timu Kupewa Wiki Nzima Kujiandaa

Najiuliza sana hili linalotokea ligi ya Tanzania kwamba ati timu inapewa wiki nzima kujiandaa kwa mechi

hivi ni kwa nini hasa

au miundo mbinu au uchawi au lishe duni?
Al Ahly wamefika lini hapa Tz!!! Hilo nalo umejiuliza??????
 
wamfika jumatano na wangeweza kufika hata jumatau kama mechi ingalikua jumatano ...............kiukweli nina wasiwasi na swali lako kama wewe ni mfuatiliaji ama umeelewa kiini cha mada
 
Wamatopeni fc, hupati shida kuwajua. Tangu mpigwe vinne (4) kwa nunge na Libolo wala hamna hamu tena!!! Libolo walimaliza kila kitu saivi kumebaki kweupe!!!!
kisebu sebu na kiroho pao oresha inapanda na inashuka hapo
 
Wamatopeni fc, hupati shida kuwajua. Tangu mpigwe vinne (4) kwa nunge na Libolo wala hamna hamu tena!!! Libolo walimaliza kila kitu saivi kumebaki kweupe!!!!
Wazee wa Comoro na Mauritius, eti nao wanajihesabu kuwa wa kimataifa! Mnakumbuka zile 6-0 za Raja Casablanca? Kesho nitazianzishia thread
 
hawa ni washiriki siku zote
 
Najiuliza sana hili linalotokea ligi ya Tanzania kwamba ati timu inapewa wiki nzima kujiandaa kwa mechi

hivi ni kwa nini hasa

au miundo mbinu au uchawi au lishe duni?
Mkuu hii ni mbinu. Barcelona na Real Madrid wamecheza j1 sawa na Yanga vs Kagera. J4 Barcelona na Atletico Madrid wanacheza kwenye UCL na Real Madrid kesho yake. Hapa kwetu TFF wanampa Yanga likizo ya wiki! Aibu mno.
 
Back
Top Bottom