Al Ahly wamefika lini hapa Tz!!! Hilo nalo umejiuliza??????Najiuliza sana hili linalotokea ligi ya Tanzania kwamba ati timu inapewa wiki nzima kujiandaa kwa mechi
hivi ni kwa nini hasa
au miundo mbinu au uchawi au lishe duni?
wamfika jumatano na wangeweza kufika hata jumatau kama mechi ingalikua jumatano ...............kiukweli nina wasiwasi na swali lako kama wewe ni mfuatiliaji ama umeelewa kiini cha madaAl Ahly wamefika lini hapa Tz!!! Hilo nalo umejiuliza??????
Wazee wa Comoro na Mauritius, eti nao wanajihesabu kuwa wa kimataifa! Mnakumbuka zile 6-0 za Raja Casablanca? Kesho nitazianzishia threadWamatopeni fc, hupati shida kuwajua. Tangu mpigwe vinne (4) kwa nunge na Libolo wala hamna hamu tena!!! Libolo walimaliza kila kitu saivi kumebaki kweupe!!!!
Ndio uzuri wa kujiandaa lasivyo watapigwa 7Uzuri kesho wanapigwa 2-0
Mkuu hii ni mbinu. Barcelona na Real Madrid wamecheza j1 sawa na Yanga vs Kagera. J4 Barcelona na Atletico Madrid wanacheza kwenye UCL na Real Madrid kesho yake. Hapa kwetu TFF wanampa Yanga likizo ya wiki! Aibu mno.Najiuliza sana hili linalotokea ligi ya Tanzania kwamba ati timu inapewa wiki nzima kujiandaa kwa mechi
hivi ni kwa nini hasa
au miundo mbinu au uchawi au lishe duni?
... limempata mwewe!Dua La kuku hilo mzee..