Timu kutoka Tanzania zitachukua Ubingwa wa CAF ndani ya miaka 3 ijayo

Chini ya uongozi wa Mama Samia lazima timu za Tanzania zibebe makombe.
 
Hadi cat waondoe magoli ya ugenini..
Na fainali iwe neutral ground
 
Hadi cat waondoe magoli ya ugenini..
Na fainali iwe neutral ground
Final ikiwa neutral ground haitokua na msisimko,imagine Jana Algiers palikua na mashabiki 300 tu wa yanga..na hapo usafiri ulikua Bure,zile pesa za full house ni muhimu
 
Umelia wewe na ndugu zako, watu wote wa wapi, mbona mimi na familia yangu hatujalia. Tulijua nyinyi hamuwezi kuchukua lile kombe.
Hamkujua kuwa Mbumbumbu mtakufa kiume ila mlijua Mabingwa wenu wa makombe yote ya TZ 2022 & 2023 hawatachukua ubingwa wa CAFCCL?

Insanity is real [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…