Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,310
- 5,482
Hatujachukua kombeTuoneshe hilo kombe la luza mlilochukua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujachukua kombeTuoneshe hilo kombe la luza mlilochukua?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee utafia kwa mashangaziiiUmelia mwenyewe
Mm Nina furaha sana kuliko furaha ya kupata mshangazi wa mbezi
Haya rudini azam wanawasubiri wawakamie wawadunde.Hatujachukua kombe
Wazee wa robo fainali siyo.Ubingwa kwanza mpaka wabebe Simba ndio takataka zingine labda zinaweza kuchukua.
mmepita njia nyepesi tupu mkafika mlipofika amuhitaji pongezi hata chembe.Wazee wa robo fainali siyo.
asa utabebaje kombe kwenye robo fainali WE ULIONA WAPI mbon unatuchekeshaUbingwa kwanza mpaka wabebe Simba ndio takataka zingine labda zinaweza kuchukua.
Hahaha Simba ya mzamiru na kanoute!?Ubingwa kwanza mpaka wabebe Simba ndio takataka zingine labda zinaweza kuchukua.
Final ikiwa neutral ground haitokua na msisimko,imagine Jana Algiers palikua na mashabiki 300 tu wa yanga..na hapo usafiri ulikua Bure,zile pesa za full house ni muhimuHadi cat waondoe magoli ya ugenini..
Na fainali iwe neutral ground
Kufa kiume unarudi na medali,siyo na ppumbu zilizolowa jasho tu!Mlikataa KUFA KIUME, basi leo NYIE MMEKUFA KIKE.
Caf washamwaga mpunga kwa Simba maandalizi ya Super cup tunashusha vyuma tupu.Hahaha Simba ya mzamiru na kanoute!?
Mmekufa kike. Eti ''Tanzania's Young Africans beat USM Algiers but lose CAFCC title''. Sifa ya kijinga kabisa!Kufa kiume unarudi na medali,siyo na ppumbu zilizolowa jasho tu!
Hamkujua kuwa Mbumbumbu mtakufa kiume ila mlijua Mabingwa wenu wa makombe yote ya TZ 2022 & 2023 hawatachukua ubingwa wa CAFCCL?Umelia wewe na ndugu zako, watu wote wa wapi, mbona mimi na familia yangu hatujalia. Tulijua nyinyi hamuwezi kuchukua lile kombe.
Rudi na chochote ndo kufa kiume..Mmekufa kike. Eti ''Tanzania's Young Africans beat USM Algiers but lose CAFCC title''. Sifa ya kijinga kabisa!
Nimecheka sana mkuu.... Umewaza jambo gani mkuu [emoji2]Ubingwa kwanza mpaka wabebe Simba ndio takataka zingine labda zinaweza kuchukua.
Kwani mbali!!Caf washamwaga mpunga kwa Simba maandalizi ya Super cup tunashusha vyuma tupu.