Timu maarufu ambazo hazijawahi kutwaa UEFA Champions League

Timu maarufu ambazo hazijawahi kutwaa UEFA Champions League

Arsenal [emoji16]

Hawa acha eufa hawana europa acha europa hawana hata conference [emoji16]

Na wana kocha kimeo arteta mwaka wa tano huu kocha ameshindwa kubeba EPL [emoji16]

Washukuru Mungu pep haitaji Epl msimu huu
Kombe la washindi je?
 
Tangu kuanzishwa kwake Mwaka 1955, Mashindano haya yamejizolea umaarufu duniani kote.

UEFA CL, (Kabla ya mwaka 1992 yakijulikana kama European Cup.) Ni mashindano ya mpira wa miguu kwa wanaume yanayohusisha mabingwa pamoja na Vilabu mbalimbali Vinavyofanya vizuri katika ligi za mpira, Ulaya.

Tayari Timu 22 Zimeshashinda Kombe hili Kubwa Barani Ulaya. Real Madrid akiongoza kwa kushinda mara nyingi zaidi(14).

Huku timu kama Bayern Munich, AC Milan, Liverpool, Mancherster United, Barcelona, Ajax n.k Zikiwa zimeshinda mara kadhaa.

Upande Mwingine Zipo timu maarufu na kubwa hazijawahi kushinda Kombe hili. Ndoto za mashabiki wao zimebaki kutamani kuona manahodha wakinyanyua kombe hili.

Hebu tutaje Vilabu ambavyo havijawahi kuonja ushindi wa kombe hili ( tuwakumbushe mashabiki wao waache kubweteka).

Mimi naanza kama hivi...

1. Atletico Madrid

2 ...…...........

3 ...............

4 ...............
Arsenal kubwa jinga
 
Back
Top Bottom