Timu maarufu zinazoongozwa kubebwa na Marefa

Tumeona sheria zikipindishwa ili yanga ishinde.
1.sheria ya kudaka mpira kwa mtu asiyekipa,ikageuzwa mpira uliguswa.Tambwe.
2. Sheria ya offside kutumika kwa mtu aliyefunga goli halali.Ajib
3.Goli za offside za yanga kutokuonekana kwa waamzi.
4.Ngoma kumkanyaga bayana mchezaji wa stend.Refa kadai hakuona wala Ngoma hakufungiwa mchezo hata mmoja.Hii ni mifano michache kwa mbeleko fc.
 
Simba, wazee wa point za mezani. Sijui hayo magoli 3 wamgawia mavugo
 
Mezani fc aka mnyama mwenye mapengo wa kulilia point ambazo c zake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Umeua mkuu, chukua fanta kwa mangi
 
Timu zinazongoza kwa kubebwa duniani ni hizi : 1. Yanga. 2. Yanga. 3. Yanga. 4. Man United. Ukicheza na timu hizo jiandae kupambana na kundi la wachezaji 11+3 waamuzi + 2 rais na katibu wa FA (Tanzania).
 
Huko kote mnzunguka tu ila hebu jaribu kufikiria kungekuwa na timu inaitwa Bashite FC je?
 
mi naona ni Man U wakati game zao anachezesha yule mshenz webu. ila barcelona mi sioni kama kweli marefa zaidi ya 5 Kuibeba nachojua wakati mwingine ni refa kupitiwa tu na utamu wa burudani uwanjani vijana wanagusa bhana mpaka huoni makosa yani
 
Tangu Howard Webb astaafu, Man U imekuwa timu ya kawaida sana
 
mi naona ni Man U wakati game zao anachezesha yule mshenz webu. ila barcelona mi sioni kama kweli marefa zaidi ya 5 Kuibeba nachojua wakati mwingine ni refa kupitiwa tu na utamu wa burudani uwanjani vijana wanagusa bhana mpaka huoni makosa yani
uko sahihi mkuu nishaangalia mechi za BARCELONA saaana ila sijaona inapobebwa mfano mechi ya PSG nimerudia kuiangalia zaid ya mara 30 ila sijaona wapi Barca kabebwa NIKAKAA NIKATAFAKARI NIKAGUNDUA MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAPIGWA MAWE ila nilipokuja kwa MADRID kuangalia mechi zake ile kufungua youtube hata dakika haijaisha

KIUKWELI WASHABIKI WA FC BQRCELONA HATUJAKOSEA KUISHANGILIA TIMU YETU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…