Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeua mkuu, chukua fanta kwa mangiHivi hapa Tanzania kuna timu mbeleko zaidi ya Yanga. Angalia matatizo waliyo sababisha kwa msimu mmoja tu.
1.Mpaka sasa kwa kubebwa yanga marefa wanne(4) wameshushwa.
2.kubebwa yanga viti vya uwanja wa taifa viling'olewa.
3.wamepigwa 4. TFF wanasema tusiwaite 4G.
Simba ni timu ya hovyoYanga a.k.a wazee wa 4G
Tangu Howard Webb astaafu, Man U imekuwa timu ya kawaida sanami naona ni Man U wakati game zao anachezesha yule mshenz webu. ila barcelona mi sioni kama kweli marefa zaidi ya 5 Kuibeba nachojua wakati mwingine ni refa kupitiwa tu na utamu wa burudani uwanjani vijana wanagusa bhana mpaka huoni makosa yani
Hapa sahihi kabisa...Manchester united
naona ikitajwa BARCA meno yote nje ila ikitajwa MAN U unamwaga povuhahahaha with capital letter kabisa
uko sahihi mkuu nishaangalia mechi za BARCELONA saaana ila sijaona inapobebwa mfano mechi ya PSG nimerudia kuiangalia zaid ya mara 30 ila sijaona wapi Barca kabebwa NIKAKAA NIKATAFAKARI NIKAGUNDUA MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAPIGWA MAWE ila nilipokuja kwa MADRID kuangalia mechi zake ile kufungua youtube hata dakika haijaishami naona ni Man U wakati game zao anachezesha yule mshenz webu. ila barcelona mi sioni kama kweli marefa zaidi ya 5 Kuibeba nachojua wakati mwingine ni refa kupitiwa tu na utamu wa burudani uwanjani vijana wanagusa bhana mpaka huoni makosa yani