Timu maarufu zinazoongozwa kubebwa na Marefa

Timu maarufu zinazoongozwa kubebwa na Marefa

uko sahihi mkuu nishaangalia mechi za BARCELONA saaana ila sijaona inapobebwa mfano mechi ya PSG nimerudia kuiangalia zaid ya mara 30 ila sijaona wapi Barca kabebwa NIKAKAA NIKATAFAKARI NIKAGUNDUA MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAPIGWA MAWE ila nilipokuja kwa MADRID kuangalia mechi zake ile kufungua youtube hata dakika haijaisha View attachment 498954

KIUKWELI WASHABIKI WA FC BQRCELONA HATUJAKOSEA KUISHANGILIA TIMU YETU
Dyabala huyoooo. Mbeleko fc Barcelona haoooo.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ahahaa ila mm kinachonishangazaga hizo team zinazobebwa zote zina mafaniki saana..kiukweli ata uwezo kimpira wanao saana ila ndo zikibebwa kidogo tu basi wanaharbu CV sio kwamba wengne hawabebwi ila wao na mafanikio yao ndo wanaoneknaga wanabebwa
 
mi naona ni Man U wakati game zao anachezesha yule mshenz webu. ila barcelona mi sioni kama kweli marefa zaidi ya 5 Kuibeba nachojua wakati mwingine ni refa kupitiwa tu na utamu wa burudani uwanjani vijana wanagusa bhana mpaka huoni makosa yani

Mahaba niue, yaani kila siku marefa wanazidiwa tu na utamu? Game ya juzi na Juve uliona refa alivyokaza???
 
kila timu iliyocheza spain inalalamika timu mwenyeji kubebwa.

Siwezi kusahau kuna game ya Man utd vs Madrid Nani alipewa kadi ya Nyekundu ya kiajabu sana

Man utd akalala 2-1
Mbona United alikuwa nyumbani
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
hawa Jamaa baada ya Kushindwa kuliiba kombe na Kupata pointi za bwerere wamekuja na maandamano sasa
 
Ahahaa ila mm kinachonishangazaga hizo team zinazobebwa zote zina mafaniki saana..kiukweli ata uwezo kimpira wanao saana ila ndo zikibebwa kidogo tu basi wanaharbu CV sio kwamba wengne hawabebwi ila wao na mafanikio yao ndo wanaoneknaga wanabebwa
Wanabebwa ndio maana wana mafaniko
 
Na lile goli la mkono jeeee
naona umekuja na ushahidi kabisa,sidhani kama Yanga wanabebwa ni aina ya mpira tu wanaocheza inakua rahisi wachezaji kufanyiwa madhambi refa akitoa kadi watu wanalalamika.

Na vipi kuhusu mtani anataka pointi za Huruma?
 
uko sahihi mkuu nishaangalia mechi za BARCELONA saaana ila sijaona inapobebwa mfano mechi ya PSG nimerudia kuiangalia zaid ya mara 30 ila sijaona wapi Barca kabebwa NIKAKAA NIKATAFAKARI NIKAGUNDUA MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAPIGWA MAWE ila nilipokuja kwa MADRID kuangalia mechi zake ile kufungua youtube hata dakika haijaisha View attachment 498954

KIUKWELI WASHABIKI WA FC BQRCELONA HATUJAKOSEA KUISHANGILIA TIMU YETU
Endeleen kushabikia bebwa fc na ndio maana mbeleko zikavunjikia kwa [HASHTAG]#juve[/HASHTAG] na bado real kesho
 
Brazil walizoea kubebwa bebwa. Wasahau tena ubingwa wa kubebwa......wakati wa kubebwa umepitwa na wakati tena. Mjerumani alimshikisha adabu aliona huyu nyanya kaishazoea kuwaonea wakina PANAMA, montenegro,haiti,honduras. Akikutana na wakubwa anabebwa mno.
 
Mkuu Brazil wamerudi tena na tiyari wameshaqualify kombe la dunia kwa Amerika ya kusini.

Hawa jamaa wapo vizuri wanavipaji vya kutosha ila kuna kipindi cha mpito kiliwapitia kama vile Senegal tu kwa Afrika,ila wako njema sana.

Argentina kachapwa,chile kachapwa,uruguay kachapwa...nk,wanakocha wao anaitwa TITE ni Mtaalamu sana achana na Akina Dunga ndo waliharibu timu Ya Taifa.

Kwa kifupi sijaona Brazil akibebwa wanajua hawa jamaa
 
naona umekuja na ushahidi kabisa,sidhani kama Yanga wanabebwa ni aina ya mpira tu wanaocheza inakua rahisi wachezaji kufanyiwa madhambi refa akitoa kadi watu wanalalamika.

Na vipi kuhusu mtani anataka pointi za Huruma?
Butua butua haiwezi mshawishi mchezaji wa timu pinzani akuchezee rafu!
 
Back
Top Bottom