Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 9,524 Reaction score 13,682 Jan 20, 2025 #21 aise said: Magufuli bila shaka alikuwa mtu wa pekee sana! Alishakufa lakini bado mpaka leo kuna watu wanapambana naye. Hii ni ajabu kidogo Click to expand... Shetani Magufuli ndiye aliyeanzisha utaratibu wa kuwaua wapinzani wake kisiasa! Hivyo hawapambani naye bali wanakazia laana ili moto wa milele ulale naye ulalo ulalo!
aise said: Magufuli bila shaka alikuwa mtu wa pekee sana! Alishakufa lakini bado mpaka leo kuna watu wanapambana naye. Hii ni ajabu kidogo Click to expand... Shetani Magufuli ndiye aliyeanzisha utaratibu wa kuwaua wapinzani wake kisiasa! Hivyo hawapambani naye bali wanakazia laana ili moto wa milele ulale naye ulalo ulalo!
Fabolous JF-Expert Member Joined Sep 23, 2010 Posts 2,993 Reaction score 3,747 Jan 20, 2025 #22 Laury said: Ni mwendo wa Madokta tu.. Click to expand... Huyo Dr mwingine ana PhD ya nini?
City Of Lies JF-Expert Member Joined Sep 8, 2011 Posts 4,925 Reaction score 6,137 Jan 20, 2025 #23 Mr Devil said: Saivi Jf kila mtu ana jifanya Jasusi Umeandika nini hiki ? Click to expand... Dah! Nimecheka sana mkuu 😂
Mr Devil said: Saivi Jf kila mtu ana jifanya Jasusi Umeandika nini hiki ? Click to expand... Dah! Nimecheka sana mkuu 😂
I Izia maji JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 2,997 Reaction score 5,385 Jan 20, 2025 Thread starter #24 Fabolous said: Huyo Dr mwingine ana PhD ya nini? Click to expand... Jikoni!