Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Shetani Magufuli ndiye aliyeanzisha utaratibu wa kuwaua wapinzani wake kisiasa! Hivyo hawapambani naye bali wanakazia laana ili moto wa milele ulale naye ulalo ulalo!Magufuli bila shaka alikuwa mtu wa pekee sana!
Alishakufa lakini bado mpaka leo kuna watu wanapambana naye.
Hii ni ajabu kidogo