Timu mbili kutoka Kundi A katika Kombe la Shirikisho zatinga nusu fainali

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,452
Reaction score
10,059
Hakika Kundi A la Kombe la Shirikisho ndio kundi lililokuwa na timu ngumu na imara.

Timu mbili kutoka kundi hilo, Simba ya Tanzania na Costantine ya Algeria zote zimetinga hatua ya nusu fainali.

Na kuna uwezekano zikakutana zenyewe tena kwenye fainali kama watashinda mechi zao za nusu fainali.

Vipi kundi lako una timu yoyote imefika nusu fainali?
 
Timu Moja ya kundi fulani leo inacheza mechi ya kimataifa ya NBC pale kwa walipopakimbia!
 
Kuna timu ilikuwa kundi hilo timu zake zote zimefyekwa robo fainali na bado walitudanganya eti wapo kwenye kundi gumu 😀
 
Hakika Kundi A la Kombe la Shirikisho ndio kundi lililokuwa na timu ngumu na imara.

Timu mbili kutoka kundi hilo, Simba ya Tanzania na Costantine ya Algeria zote zimetinga hatua ya nusu fainali.

Na kuna uwezekano zikakutana zenyewe tena kwenye fainali kama watashinda mechi zao za nusu fainali.

Vipi kundi lako una timu yoyote imefika nusu fainali?
Ukweli Dunia inazunguka kwa Kasi sana,kolo Leo anatamba kwenye mashindano ambayo yanga alifika hadi fainali ingawa walidhihaki sana.leo mnatamba na kuvimba?kweli soka la bongo ni unafki TU.
 
Ama kweli Dunia Ina wajinga wengi,hivi huna hata habari kua Simba alishaingia fainali ya kombe hili mwaka 1993?
Na Nusu fainali ya Klabu bingwq mwaka 1974?
 
Back
Top Bottom