Lazima awe na kazi maana yupo kwenye mashindano.Simba bado kazi anayo
Ukiwa nje ya mashindano Kila kundi ni dhaifu.Kuna watu walikuwa wanasema eti kundi la simba ni dhaifu.
Timu Moja ya kundi fulani leo inacheza mechi ya kimataifa ya NBC pale kwa walipopakimbia!Hakika Kundi A la Kombe la Shirikisho ndio kundi lililokuwa na timu ngumu na imara.
Timu mbili kutoka kundi hilo, Simba ya Tanzania na Costantine ya Algeria zote zimetinga hatua ya nusu fainali.
Na kuna uwezekano zikakutana zenyewe tena kwenye fainali kama watashinda mechi zao za nusu fainali.
Vipi kundi lako una timu yoyote imefika nusu fainali?
πΏπΏπΏUkiwa nje ya mashindano Kila kundi ni dhaifu.
KwikwikwiUkiwa nje ya mashindano Kila kundi ni dhaifu.
Ukweli Dunia inazunguka kwa Kasi sana,kolo Leo anatamba kwenye mashindano ambayo yanga alifika hadi fainali ingawa walidhihaki sana.leo mnatamba na kuvimba?kweli soka la bongo ni unafki TU.Hakika Kundi A la Kombe la Shirikisho ndio kundi lililokuwa na timu ngumu na imara.
Timu mbili kutoka kundi hilo, Simba ya Tanzania na Costantine ya Algeria zote zimetinga hatua ya nusu fainali.
Na kuna uwezekano zikakutana zenyewe tena kwenye fainali kama watashinda mechi zao za nusu fainali.
Vipi kundi lako una timu yoyote imefika nusu fainali?
Hoja Yako wala hukutakiwa kuiandika kwa sababu Haina nguvu.Simba bado kazi anayo
Ama kweli Dunia Ina wajinga wengi,hivi huna hata habari kua Simba alishaingia fainali ya kombe hili mwaka 1993?Ukweli Dunia inazunguka kwa Kasi sana,kolo Leo anatamba kwenye mashindano ambayo yanga alifika hadi fainali ingawa walidhihaki sana.leo mnatamba na kuvimba?kweli soka la bongo ni unafki TU.
πππππTimu Moja ya kundi fulani leo inacheza mechi ya kimataifa ya NBC pale kwa walipopakimbia!