🤣🤣🤣 Mziki wa No Reforms No Election siyo poa kabisa!Nyie akina Kigaila, Mwalimu, Catherine, Mrema, Mwita na wengine wote wa G55 mmesahau kiapo chetu kuwa baada ya kushindwa uchaguzi hakuna mtu atahama Chama? Sasa imekuwaje wenzetu mnabwaga manyanga?
Je ni kweli ninyi mlikuwa virusi ndani ya Chadema na kwamba mlikuwa mnajaza matumbo yenu kupitia kupitia kumpetipeti Mwenyekiti Mbowe? Kwamba baada ya Mbowe kushindwa uchaguzi mirija yenu imekatwa?
Kila la heri huko kwa Mzee Umbwabwa. Hongera sana Mzee Rungwe a.k.a Mzee wa Ubwabwa kuvuna wanachama wapya lakini chukua tahadhari hao wanachama wapya wanapenda sana vyeo bila hivyo watakupindua au watakuhama!
Ila ile ahadi yako ya kutulisha ubwabwa Watanzania wote achana nayo kwani tumekwisha kuwa watu wazima mambo ya ubwabwa ni kwa watoto tu!
Wa kwanza ni Mungu wa pili teknolojia!Hao ni wazee wa ruzuku hapa walikuwa wakimaanisha kuwa Kama hakuna Ruzuku hakuna Uchaguzi.
View attachment 3326991
🤮🤮😝😝😝Wa kwanza ni Mungu wa pili teknolojia!
Leo Kigaila kala matapishi yake bila aibu kama mbwa dadeki! 😆😆😆🙏📌
Naamini na wewe utaambatana nao.Mlitegemea wasubiri mpaka mtakapo wafukuza kama mlivyofanya kwa Mrema na Asenga?
Amandla...
Kila anaueondoka ni msaliti! Ahahahahaha!Nyie akina Kigaila, Mwalimu, Catherine, Mrema, Mwita na wengine wote wa G55 mmesahau kiapo chetu kuwa baada ya kushindwa uchaguzi hakuna mtu atahama Chama? Sasa imekuwaje wenzetu mnabwaga manyanga?
Je ni kweli ninyi mlikuwa virusi ndani ya Chadema na kwamba mlikuwa mnajaza matumbo yenu kupitia kupitia kumpetipeti Mwenyekiti Mbowe? Kwamba baada ya Mbowe kushindwa uchaguzi mirija yenu imekatwa?
Kila la heri huko kwa Mzee Umbwabwa. Hongera sana Mzee Rungwe a.k.a Mzee wa Ubwabwa kuvuna wanachama wapya lakini chukua tahadhari hao wanachama wapya wanapenda sana vyeo bila hivyo watakupindua au watakuhama!
Ila ile ahadi yako ya kutulisha ubwabwa Watanzania wote achana nayo kwani tumekwisha kuwa watu wazima mambo ya ubwabwa ni kwa watoto tu!
Lugha gani nyingine bora zaidi ya kumuita mtu anayekiuka maamuzi halali ya vikao vya Chama?Kila anaueondoka ni msaliti! Ahahahahaha!
Kinachofurahisha, wanaobaki leo nao wataitwa wasaliti kesho!
"Ukila nyama ya mtu huwezi kuacha...!" Mwl. Nyerere, 1995.
Sawa. Fukuza tu. Nami nasema,"fukuza"!Lugha gani nyingine bora zaidi ya kumuita mtu anayekiuka maamuzi halali ya vikao vya Chama?
Haahaa meza imepinduka, usicheze na wapiga kura wewe,🤣🤣🤣 ndo maana ccm hawataki kulisikia tume huru.Mbowe kasusa na kununaNyie akina Kigaila, Mwalimu, Catherine, Mrema, Mwita na wengine wote wa G55 mmesahau kiapo chetu kuwa baada ya kushindwa uchaguzi hakuna mtu atahama Chama? Sasa imekuwaje wenzetu mnabwaga manyanga?
Je ni kweli ninyi mlikuwa virusi ndani ya Chadema na kwamba mlikuwa mnajaza matumbo yenu kupitia kupitia kumpetipeti Mwenyekiti Mbowe? Kwamba baada ya Mbowe kushindwa uchaguzi mirija yenu imekatwa?
Kila la heri huko kwa Mzee Umbwabwa. Hongera sana Mzee Rungwe a.k.a Mzee wa Ubwabwa kuvuna wanachama wapya lakini chukua tahadhari hao wanachama wapya wanapenda sana vyeo bila hivyo watakupindua au watakuhama!
Ila ile ahadi yako ya kutulisha ubwabwa Watanzania wote achana nayo kwani tumekwisha kuwa watu wazima mambo ya ubwabwa ni kwa watoto tu!
Wale wangekuwa ccm wangetimuliwa kitambo Sana...Lugha gani nyingine bora zaidi ya kumuita mtu anayekiuka maamuzi halali ya vikao vya Chama?
Huenda ni presha ya mama nyumbani anayeleta mlo kupitia vitu maalumu vya COVID 19Wa kwanza ni Mungu wa pili teknolojia!
Leo Kigaila kala matapishi yake bila aibu kama mbwa dadeki! 😆😆😆🙏📌
Makubaliano yalikuw iwe uneshinda au kusindwa hakuna kuhama!Kila anaueondoka ni msaliti! Ahahahahaha!