Mbuta Likaso
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 5,414
- 10,555
Kama uchaguzi fake ndio ilikuwa Kula yako basi kitumbua kimeingia mchanga.🤣🤣🤣 Mziki wa No Reforms No Election siyo poa kabisa!
Nyie akina Kigaila, Mwalimu, Catherine, Mrema, Mwita na wengine wote wa G55 mmesahau kiapo chetu kuwa baada ya kushindwa uchaguzi hakuna mtu atahama Chama? Sasa imekuwaje wenzetu mnabwaga manyanga?
Je ni kweli ninyi mlikuwa virusi ndani ya Chadema na kwamba mlikuwa mnajaza matumbo yenu kupitia kupitia kumpetipeti Mwenyekiti Mbowe? Kwamba baada ya Mbowe kushindwa uchaguzi mirija yenu imekatwa?
Kila la heri huko kwa Mzee Umbwabwa. Hongera sana Mzee Rungwe a.k.a Mzee wa Ubwabwa kuvuna wanachama wapya lakini chukua tahadhari hao wanachama wapya wanapenda sana vyeo bila hivyo watakupindua au watakuhama!
Ila ile ahadi yako ya kutulisha ubwabwa Watanzania wote achana nayo kwani tumekwisha kuwa watu wazima mambo ya ubwabwa ni kwa watoto tu!
Fire fire fire , fire burn them x2Nyie akina Kigaila, Mwalimu, Catherine, Mrema, Mwita na wengine wote wa G55 mmesahau kiapo chetu kuwa baada ya kushindwa uchaguzi hakuna mtu atahama Chama? Sasa imekuwaje wenzetu mnabwaga manyanga?
Je ni kweli ninyi mlikuwa virusi ndani ya Chadema na kwamba mlikuwa mnajaza matumbo yenu kupitia kupitia kumpetipeti Mwenyekiti Mbowe? Kwamba baada ya Mbowe kushindwa uchaguzi mirija yenu imekatwa?
Kila la heri huko kwa Mzee Umbwabwa. Hongera sana Mzee Rungwe a.k.a Mzee wa Ubwabwa kuvuna wanachama wapya lakini chukua tahadhari hao wanachama wapya wanapenda sana vyeo bila hivyo watakupindua au watakuhama!
Ila ile ahadi yako ya kutulisha ubwabwa Watanzania wote achana nayo kwani tumekwisha kuwa watu wazima mambo ya ubwabwa ni kwa watoto tu!
Let them go ! They destroyed the real opposition party!
Aibu yao!Nyie akina Kigaila, Mwalimu, Catherine, Mrema, Mwita na wengine wote wa G55 mmesahau kiapo chetu kuwa baada ya kushindwa uchaguzi hakuna mtu atahama Chama? Sasa imekuwaje wenzetu mnabwaga manyanga?
Je ni kweli ninyi mlikuwa virusi ndani ya Chadema na kwamba mlikuwa mnajaza matumbo yenu kupitia kupitia kumpetipeti Mwenyekiti Mbowe? Kwamba baada ya Mbowe kushindwa uchaguzi mirija yenu imekatwa?
Kila la heri huko kwa Mzee Umbwabwa. Hongera sana Mzee Rungwe a.k.a Mzee wa Ubwabwa kuvuna wanachama wapya lakini chukua tahadhari hao wanachama wapya wanapenda sana vyeo bila hivyo watakupindua au watakuhama!
Ila ile ahadi yako ya kutulisha ubwabwa Watanzania wote achana nayo kwani tumekwisha kuwa watu wazima mambo ya ubwabwa ni kwa watoto tu!
Sawasawa. Siku zamu yako ikifika itakuwa poa sana!Wanajifukuza kwa usaliti wao hakuna namna!
Ahahahahaha! Mbona mimi nina taarifa za Lissu kuhama kama Mbowe angeshinda?Makubaliano yalikuw iwe uneshinda au kusindwa hakuna kuhama!
😁Labda sbb chana kilishakuwa kimeuzwa, kimetokea kwenye misingiAhahahahaha! Mbona mimi nina taarifa za Lissu kuhama kama Mbowe angeshinda?
Mbowe alipanga kuwafukuza kina lissu, msigwa, lema na heche angeshindaAhahahahaha! Mbona mimi nina taarifa za Lissu kuhama kama Mbowe angeshinda?
Huo sio mpasuko bali usalitiiLazima cdm wakubali kuwa kunampasuko kama nihivyo nikuuziba ila sio kuita watu wasaliti hiyo kauli inaumiza
hili tanuru joto nikali sana lazma waondoke nafsi inawasutaNyie akina Kigaila, Mwalimu, Catherine, Mrema, Mwita na wengine wote wa G55 mmesahau kiapo chetu kuwa baada ya kushindwa uchaguzi hakuna mtu atahama Chama? Sasa imekuwaje wenzetu mnabwaga manyanga?
Je ni kweli ninyi mlikuwa virusi ndani ya Chadema na kwamba mlikuwa mnajaza matumbo yenu kupitia kupitia kumpetipeti Mwenyekiti Mbowe? Kwamba baada ya Mbowe kushindwa uchaguzi mirija yenu imekatwa?
Kila la heri huko kwa Mzee Umbwabwa. Hongera sana Mzee Rungwe a.k.a Mzee wa Ubwabwa kuvuna wanachama wapya lakini chukua tahadhari hao wanachama wapya wanapenda sana vyeo bila hivyo watakupindua au watakuhama!
Ila ile ahadi yako ya kutulisha ubwabwa Watanzania wote achana nayo kwani tumekwisha kuwa watu wazima mambo ya ubwabwa ni kwa watoto tu!
Sasa mbona kajizima data??? Au ndo maana walikataa maswali????Hao ni wazee wa ruzuku hapa walikuwa wakimaanisha kuwa Kama hakuna Ruzuku hakuna Uchaguzi.
View attachment 3326991
Haahaa msigwa alipigwa mkwala na mbowe aliambiwa hatakiwi chadema akaunga juhudi ccmMsigwa walikutesa sana hawa watu sasa rukhsa kurudi chadema mkajenge chama na swaiba wako. wote mlikuwa wahanga wa utawala huo.
Mbowe alikuwa hafukuzi, bali walikuwa wanajitoa. Tatizo la Lissu ni kuamini yeye anajua kuliko kila mtu. Na hiyo ni tabia namba moja ya Madikteta duniani.Mbowe alipanga kuwafukuza kina lissu, msigwa, lema na heche angeshinda
Ahahahahaha! Mimi ni mwana CCM mwenye kadi ya kidijitali.Shame upon G55 fake!