Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karne hi thread ya wali kipao mbele.Viwanja vya mpira vilivyopo Tanzania tangu karne ya 20 eti ndo wakumbaf wanajengewa karne hii ya 21 halafu wanatakupigia kelele humu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukitaka kuona vituko vya Viwanja vyao chungulia farmers ligi yao.
Post moja pekee....Tz hakuna viwanja[emoji23][emoji23][emoji706]Viwanja vya mpira vilivyopo Tanzania tangu karne ya 20 eti ndo wakumbaf wanajengewa karne hii ya 21 halafu wanatakupigia kelele humu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukitaka kuona vituko vya Viwanja vyao chungulia farmers ligi yao.
Club yenyewe mumejaza foreigners,Hizo ni ranks kwa team za taifa hapa zinazungumziwa clubs
Viwanja vya mpira vilivyopo Tanzania tangu karne ya 20 eti ndo wakumbaf wanajengewa karne hii ya 21 halafu wanatakupigia kelele humu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ukitaka kuona vituko vya Viwanja vyao chungulia farmers ligi yao.
Manura ... Kapombe.... Shabalala .... BokoClub yenyewe mumejaza foreigners,
First 11 karibu yote ya Simba si watanzania!!!
Reason your national TEAM iko down kama mkia.