Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
mimi ni Liver damu uchungu wa kukosa kombe ni haulezekiAfadhali Yanga inatutoa uchungu wale washabiki wa Liverpool
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi ni Liver damu uchungu wa kukosa kombe ni haulezekiAfadhali Yanga inatutoa uchungu wale washabiki wa Liverpool
Hizo safari njema zenu huwaga haziishi tu? Maana mlianza mapema kabisa tulipoenda kule Mauritius, tukapeta mkasema mwishowetu kwa Apr, tukapeta tena, mkaja tena kwa waarabu tukajikwaa kidogo tukaangukia kwa Sagrada. Mkasema hivyo hivyo tumevuka salama ....mtabakia hivyo hivyo kuombea mabaya lakin sisi tunasema hivi DAIMA MBELE NYUMA MWIKO...mtasubiri sana kwa YANGA hiiYanga imefika patamu nawatakia safari njema ya mapemaaaa kurudi kucheza Na ndanda