Hizo safari njema zenu huwaga haziishi tu? Maana mlianza mapema kabisa tulipoenda kule Mauritius, tukapeta mkasema mwishowetu kwa Apr, tukapeta tena, mkaja tena kwa waarabu tukajikwaa kidogo tukaangukia kwa Sagrada. Mkasema hivyo hivyo tumevuka salama ....mtabakia hivyo hivyo kuombea mabaya lakin sisi tunasema hivi DAIMA MBELE NYUMA MWIKO...mtasubiri sana kwa YANGA hii