Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 5,603
- 14,183
Na-dedicate wimbo wa Aslay kwako unaitwa CHUKIUfaransa watolewe tu.
Na-dedicate wimbo wa Aslay kwako unaitwa CHUKIUfaransa watolewe tu.
Kweli ninachuki.Na-dedicate wimbo wa Aslay kwako unaitwa CHUKI
Wabaguzi unawakubalijeNatamani Argentina wakutane fainali na Spain ili yeyote achukue maana timu zote mbili nazikubali.
Kivipi ni wabaguzi.Wabaguzi unawakubalije
Argentina wabaguzi au hujui hilo?Kivipi ni wabaguzi.
Kwani huko kwenye mataifa mengine hakuna ubaguzi?Argentina wabaguzi au hujui hilo?
HIyo Brazil inafanya nn hapo kwny namba 5?View attachment 3627503View attachment 3627504View attachment 3627505
The current 2026 FIFA world ranking.
Kosa la kipuuz limewacost, wachezaj sijui wanawaza nini unajua kabisa kuna VAR unaleta mbwembwe, yule eMBOLO wa kupga makofi palepale uwanjaniKwa mpira upi? Wale waswizi wangekuwa full mkoko wangemkalisha ndani ya 90 minutes tu.
Tuwaulize FIFA, mimi nimewakopi tu.HIyo Brazil inafanya nn hapo kwny namba 5?
Kosa la kipuuz limewacost, wachezaj sijui wanawaza nini unajua kabisa kuna VAR unaleta mbwembwe, yule eMBOLO wa kupga makofi palepale uwanjani
Yeah, tungeshuhudia fainali kali sana ya Spain vs France, rankings ndiyo zimesababisha mpangilio ukawa hivi ulivyo.Agentina apigwe
Nataman ingekuwa france vs england
Spain vs agentina
Mjinga mmo1Jamaa kajirusha kama anapiga mbizi kuingia swimming pool...
Argentina wabaguzi au hujui hilo?
Ngozi zetu hizi haziachagi asili ya uswahili.Jamaa kajirusha kama anapiga mbizi kuingia swimming pool...
Argentina ya mwana huu ni kivuli kitupu.Kwenye makaratasi wamepewa odd chache kuliko wenzao, huenda ikatokea, tukashuhudia ile mbungi ambayo sijawai ona😄, piga nikupige
Naiona hii.Argentina hana timu nzuri kipindi hiki. Hata hapo alipo amefika kwa kuchechemea. Fedha yangu naweka kwa Ufaransa, na nadhani fainali itakuwa France vs England.