Timu nyingi zimepigwa kwenye usajili kuanzia Chelsea, Man Utd, PSG, Arsenal, Yanga, Simba

Timu nyingi zimepigwa kwenye usajili kuanzia Chelsea, Man Utd, PSG, Arsenal, Yanga, Simba

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Chelsea: kumsajili Torres kutoka Liverpool na Lukaku kutoka inter.

Man Utd: kumsajili Ronaldo kutoka Juventus.

Psg: kumsajili Neymar na Messi kutoka Barcelona.

Arsenal: kumsajili Pepe kutoka Lille.

Yanga: kumsajili Makambo mara ya pili.

Simba: kumsajili Chikwende kutoka Platnum.
 
Wewe takataka ..ondoa Chelsea hapo sisi hatujawahi kupigwa wewe..
 
Simba kumsajili Serunkuma kutoka....
Simba kumsajili Junior Lokosa kutoka....
Simba kumsajili Mugalu kutoka......
Simba kumsajili Efue Morris, mwizi wa mgari kutoka......😁😁
Simba kumpa mkataba kocha Pablo Escobar, mzee wa kubutua viti kutoka Real Madrid ya Boko Magengeni, nchini.......😁😁
Mugalu, Pablo na Morrison ni faida kwa mnyama.
 
Chikwende na Duncan Nyoni walikuwa wazuri sema hawakupewa nafasi ya kucheza kuonyesha ubora wao.
 
Simba ndio wamepigwa utosini Sana.
serenkuma
mavugo
mugalu
ilanfya
miraji
pape nd'ow
chikwende
Duncan nyoni
Raphael kiongera na matakataka mengine kibaooo.
 
Back
Top Bottom