Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Nov 26, 2022 Thread starter #21 FT 1-1
Dish JF-Expert Member Joined Jun 3, 2019 Posts 624 Reaction score 922 Nov 26, 2022 #22 Bila bila said: Leo tena Ile timu ambayo Wachezaji wote ni mabeki, wote ni viungo, wote ni mawinga na wote ni washambuliaji. Waanzilishi wa TOTAL FOOTBAL wako uwanjani na Dunia yote ina furaha. Dakika 18 Oranje 1(Gakpo) - 0 Ecuador. Click to expand... Hamfiki mbali na orange yenu! mkikutana tu na giants kwaher
Bila bila said: Leo tena Ile timu ambayo Wachezaji wote ni mabeki, wote ni viungo, wote ni mawinga na wote ni washambuliaji. Waanzilishi wa TOTAL FOOTBAL wako uwanjani na Dunia yote ina furaha. Dakika 18 Oranje 1(Gakpo) - 0 Ecuador. Click to expand... Hamfiki mbali na orange yenu! mkikutana tu na giants kwaher
Moshi25 JF-Expert Member Joined May 6, 2022 Posts 2,555 Reaction score 4,118 Nov 26, 2022 #23 Timu JAPAN wenzangu tukutane hapa kina toyota na suzuki inamoto nk. Team Japan tutaendelea kuangusha mibuyu na kombe litashuka Tokyo. Celebration za Japan zitamalizikia Jangwani unbeaten klabu kwa wananchi maana Japan tunabeba ndoo ya world cup unbeaten!
Timu JAPAN wenzangu tukutane hapa kina toyota na suzuki inamoto nk. Team Japan tutaendelea kuangusha mibuyu na kombe litashuka Tokyo. Celebration za Japan zitamalizikia Jangwani unbeaten klabu kwa wananchi maana Japan tunabeba ndoo ya world cup unbeaten!