Timu Oranje tukutane hapa

Timu Oranje tukutane hapa

Leo tena Ile timu ambayo Wachezaji wote ni mabeki, wote ni viungo, wote ni mawinga na wote ni washambuliaji. Waanzilishi wa TOTAL FOOTBAL wako uwanjani na Dunia yote ina furaha.
Dakika 18 Oranje 1(Gakpo) - 0 Ecuador.

Hamfiki mbali na orange yenu! mkikutana tu na giants kwaher
 
Timu JAPAN wenzangu tukutane hapa kina toyota na suzuki inamoto nk.

Team Japan tutaendelea kuangusha mibuyu na kombe litashuka Tokyo.

Celebration za Japan zitamalizikia Jangwani unbeaten klabu kwa wananchi maana Japan tunabeba ndoo ya world cup unbeaten!
 
Back
Top Bottom