Timu vinara wa kupiga pasi ligue ya NBC premier ligue

Timu vinara wa kupiga pasi ligue ya NBC premier ligue

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Tukiwa tunaendelea na ligue ya NBC kwenye mzunguko wa 13 hatimaye takwimu za timu ambazo zinapiga pasi nyingi uwanjani pia zimetolewa Kama ifuatavyo

1. Young Africans ___pasi .5130

2. Azam fc ____pasi .3957

3. Simba fc ______pasi. 3500

4. Coastal union. ___pasi 3263

5. Mtibwa sugar_____pasi 3081

6. Ruvu shooting ____pasi 3063

Je ushindi unayoipata timu yako inauhalisia na pasi inazotengeneza?

FB_IMG_16430177118015505.jpg
 
Kwa ule uwanja wa dodoma jiji na mtibwa unataka wachezaji wapige pasi mna fujo sana au hamjazoea vitu vizuri.
 
Tukiwa tunaendelea na ligue ya NBC kwenye mzunguko wa 13 hatimaye takwimu za timu ambazo zinapiga pasi nyingi uwanjani pia zimetolewa Kama ifuatavyo

1. Young Africans ___pasi .5130

2. Azam fc ____pasi .3957

3. Simba fc ______pasi. 3500

4. Coastal union. ___pasi 3263

5. Mtibwa sugar_____pasi 3081

6. Ruvu shooting ____pasi 3063

Je ushindi unayoipata timu yako inauhalisia na pasi inazotengeneza?

View attachment 2094158
Nchi ngumu sana hii ongereni vijana wa yanga
 
Back
Top Bottom