Timu ya Al Ahly wapitishia mizigo dirishani badala ya mlangoni

Kitendo cha kufanya mind games za kushirikisha kinaonyesha una imani hizo, utatofautishaje mind game na reality?
Mind game inategemeana na ni nini unajua kuhusu mpinzani wako. Kama unajua huyu ni malaya huwezi cheza mindgame kuhusu jambo nje ya umalaya wake.
 
chezea yanga...ila kipigo kipo pale pale,mizigo wataona mizito kuondoka nayo kesho kutwa
 
Pelekeni mashitaka CAF...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…